![]() |
| BARAGUMU LA MNYONGE |
JK ATEUA KAMISHNA MKUU MPYA
IDARA YA UHAMIAJI,
![]() |
| Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete |
![]() |
| Ndugu Sylvester Ambokile Mwakinyule |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Sylvester Ambokile Mwakinyule kuwa Kamishna Mkuu, Idara ya Uhamiaji.
Taarifa iliyotolewa leo, Alhamisi, 29 Agosti, 2013 mjini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa uteuzi huo umeanza jana, Agosti 28, mwaka huu, 2013.
Ndugu Mwakinyule anachukua nafasi ya Ndugu Magnus Ulungi ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Sylvester Ambokile Mwakinyule, alikuwa Naibu Kamishna wa Uhamiaji na Mwambata wa Uhamiaji katika Ubalozi wa Tanzania, London, Uingereza
Wakati huo huo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Nyamajeje Calleb Weggoro kuwa Msaidizi wa Rais, Masuala ya Ushirikiano wa Kikanda.
Taarifa iliyotolewa leo, Alhamisi, 29 Agosti, 2013 mjini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa uteuzi huo umeanza jana Agosti 28, mwaka huu, 2013.
Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Nyamajeje Calleb Weggoro alikuwa Mkurugenzi wa Sekta za Uzalishaji (Productive Sectors) katika Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
>>……………………………..
PONGEZI
ZIKIENDELEA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII…..
![]() |
| CAHANGAMOTO |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya
Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Sylvester Ambokile Mwakinyule kuwa Kamishna Mkuu,
Idara ya Uhamiaji.
Taarifa iliyotolewa leo, Alhamisi, 29 Agosti, 2013
mjini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa
uteuzi huo umeanza jana, Agosti 28, mwaka huu, 2013.
Ndugu Mwakinyule anachukua nafasi ya Ndugu Magnus Ulungi ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Ndugu Mwakinyule anachukua nafasi ya Ndugu Magnus Ulungi ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Sylvester Ambokile
Mwakinyule, alikuwa Naibu Kamishna wa Uhamiaji na Mwambata wa Uhamiaji katika
Ubalozi wa Tanzania, London, Uingereza
>>>>Rais pia amemteua Dkt. Nyamajeje
Calleb Weggoro kuwa Msaidizi wa Rais, Masuala ya Ushirikiano wa Kikanda.
Taarifa iliyotolewa leo, Alhamisi, 29 Agosti, 2013
mjini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa
uteuzi huo umeanza jana Agosti 28, mwaka huu, 2013.
Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Nyamajeje Calleb Weggoro
alikuwa Mkurugenzi wa Sekta za Uzalishaji (Productive Sectors) katika
Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
![]() |
| TWIGA...WA Tanzania |





No comments:
Post a Comment