![]() |
| BARAGUMU LA MNYONGE |
![]() |
Profesa John Nkoma |
![]() |
vyombo vya habari |
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa
John Nkoma, amewataka wamiliki wa vyombo vya habari nchini kuendelea
kuwakumbusha wafanyakazi wao kufuata maadili ya kazi, ili wasivunje
sheria na kanuni ambazo walikubaliana wakati wakikabidhiwa leseni.
Profesa Nkoma aliyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa
akikabidhi leseni za biashara kwa wamiliki wa Radio Nuuru na Radio
Mwambao zilizopo Tanga, Overcomes ya Iringa na Rocks ya Mbeya.
Aidha aliwataka wamiliki wahakikishe wanashirikiana na wafanyakazi wao
ili kuepuka uvunjajji wa amani ya nchi ambao unaweza kutokea kwa kutumia
vyombo hivyo.
![]() |
| Panya ruwala |




No comments:
Post a Comment