DAVIS TEDDY KIZENGA SHUNDI
 |
| Binti wa | marehemu |
Ni
mwaka mmoja sasa tangu ulipotutoka bila ya kutuaga baba yetu
mpenzi,Siku ya ijumaa tarehe 24 2012.tumegundua kuwa hatutakuja kupata
baba mwenye busara,ucheshi na upendo kama wewe.wewe ni wa
pekee,unakumbukwa na mkeo mpenzi,binti zk kadodo,necia, na Mariam.kijana
wk Michael.wajukuu bonge na chechi,mama yako,wakwe zako ,ndugu zako
wote pamoja na wafanyakaz wenzio wa uhamiaji.Raha ya milele umpe ee
bwana na mwanga wa milele ukamwangaze.apumzike kwa amani.tutakupenda
daima baba yetu
DAVIS TEDDY KIZENGA SHUNDI
 |
| BARAGUMU LA MNYONGE |
No comments:
Post a Comment