Baragumu la Mnyone
Mwenyekiti
wa Tume ya Katiba Mpya,
Mwenyekiti
wa Tume ya Katiba Mpya, Jaji Warioba amewajia juu wanasiasa hasa
wanaowaambia wafuasi wao waseme nini na mawazo mengine yanatolewa
majukwaani kwa utashi wa kisiasa kwamba hawatayajumuisha na wasahau kama
watayafanyia kazi.
Kadai kuna vyama vya siasa vinatoa mawazo kimaslahi ya vyama, nao wasahau kwani Katiba ni ya Watanzania na si ya kichama!

Katiba Mpya

Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Mpya,
Mwenyekiti
wa Tume ya Katiba Mpya, Jaji Warioba amewajia juu wanasiasa hasa
wanaowaambia wafuasi wao waseme nini na mawazo mengine yanatolewa
majukwaani kwa utashi wa kisiasa kwamba hawatayajumuisha na wasahau kama
watayafanyia kazi.Kadai kuna vyama vya siasa vinatoa mawazo kimaslahi ya vyama, nao wasahau kwani Katiba ni ya Watanzania na si ya kichama!
![]() |
| Katiba Mpya |
No comments:
Post a Comment