Saturday, 10 August 2013

Salim Kikeke, Atanabaisha....wa BBC

 
 
 
NDIVYO ALIVYOSEMA :


Salim Kikeke,
Baragumu la Mnyonge

 

 

“Wakati mwingine katika kusaka ajira, kubali kufanya kazi bila ya malipo, onyesha jitihada zako, huenda ikawa ni njia nzuri ya kuajiriwa katika maeneo mbalimbali yakiwemo yale ambayo huenda mtu amekwenda kwa ajili ya masomo kwa vitendo.”



No comments:

Post a Comment