Thursday, 8 August 2013

Polisi katika kisiwa cha Zanzibar



Maji ya Acid
Maji ya Acid
Polisi katika kisiwa cha Zanzibar wamesema
Udhalilishaji wanawake
wanawake wawili wa Uingereza wamerushiwa maji ya Acid katika nyuso zao baada ya kuvamiwa mwendo wa usiku.
Naibu kamishna wa polisi amesema kuwa wanaume wawili waliwatendea wanawake hao kitendo hicho walipokuwa wakitembea katika barabara za mji wa kihistoria wa zanzibar.
Amesema kuwa polisi tayari wameanzisha msako dhidi yao wanaume hao.
Wanawake hao, wanasemkana kufanyia kazi shirika moja la kujitolea na nia ya shambulizi halo haijulikani.


No comments:

Post a Comment