BARAGUMU LA MNYONGE
Hii
leo tunaamkia habari za chama cha MDC chake Morgan Tsvangirai kupinga
ushindi wa Rais Robert Mugabe Zimbabwe , kikisema kuwa kitakwenda
mahakamani kwa hilo....unadhani mahakama inaweza kutoa uamuzi gani
wakati Muungano wa Afrika ulisema kuwa uchaguzi ulikuwa huru na wa haki?
mbali na hayo vipi huko mliko? nini cha mno Dar, Kinshasa, Kampala,
Kigali, Bujumbura , Nairobi.......

No comments:
Post a Comment