VIJANA WAKATOLIKI TANZANIA

Mhashamu
baba Askofu Telesphor Mkude wa jimbo katoliki Morogoro akiwa na
wakarismatiki wa jimbon mwake anaonekana hapo akiendesha ibada ya misa
takatifu ya uponyaji na kufunguliwa ktk kituo cha Karismatiki katoliki
jimbo la Morogoro (Jumamosi 17/08/2013). Azungumzia namna karismatiki
inavyolisaidia kanisa hasa ktk swala zima la Utoaji na kujitoa. (Picha
na Ev. Aston Ben)
 |
| Baragumu la mnyonge |
No comments:
Post a Comment