Friday, 23 August 2013

UHARAMIA WA KUTISHA WATINGA TARAFA YA KAKUNYU




Kilimanjaro


Baragumu la siku
Majeruhu wa tukio


Amini usiamini wakati kukiwepo na agizo la wahamiaji haramu kuondoka katika maeneo waliyo vamia na kutokana na agizo la serekali la kuhakikisha wavamivi hao watauza mali zao walizokuwa nazo ili kuweza kurudi makwao bila ya bughudha

 UHARAMIA WA KUTISHA WAIBUKA katika vijiji vya BUGANGO....Katika kitungiji cha Kikindo,  na nyuma ya kitongoji cha  Rufika kijna mmoja Mhamiaji haramu inasemekana huenda ni raia Raia wa Uganda au Rwanda ajikuta matatani baada kufanikiwa kuuza sehemu yake iliyokuwa na mazao kwa donge nono kitu ambacho kilicho taka kumpotezea maisha yake kwani alipokea kupigo cha kufa mtu kung'lewa meno na kupasuliwa jicho lake ka kulia akiwa kalala chini kuchakani nilisikia mwananchi mmoja akilalamika yakuwa hivi sasa hali si shwali huku kwetu

kijijini aliendelea kwa kusema hatujui kwenye vijiji vingine hali ya amani imedhohofu kiasi gani aliendelea kwa
Majeruhi
kusema kunahaja ya vukundi vya sungu sungu na mgambo kuukabiliana na wahamiaji haramu walio jificha mipakani na wakisuburi wakati wa usiku kuja kufanya madhara kwa wananchi pia nili fanikiwa kisalimiana na Barozi wa maeneo ya Kikindo Bwana Byagaba alisema sasa kazi ndio kwanza imeanza tunapaswa kuto kulala kwani kwakweli hakuna amani tena humu kijijini alisema Barozi hiyo

mpaka naondoka katika emeo latukio Askari wa Police Bugango waliwasili kuukagua mwili wa majeruhi huyo kwa kupewa msaada wa kupelekwa Hospitar kwa matibabu zaidi.... 

Wito wangu tungependa wananchi wa maeneo hayo yaliyo kumbwa na kifyagio cha kuwaondoa wahamiaji haramu tuache kuwakaribisha tena watu tusio wajiwa kwani kurudi kwao kunaweza kukaleta watu wabaya ambao watakuwa kero katika jamii...

No comments:

Post a Comment