je wewe unasemaje???
 |
| ONGEA USIKIKE |
Kauli
ya Mheshmiwa Raias huko Kagera Mnadhani ni kweli tunastahili? na kama kweli je
Tumekosea wapi na Tufanyeje? kwani ni dongo lingene kwetu kama la la NIDA
mpaka ss nipo njia panda kwenye mapitio ya rasimu
ya katiba juu ya "hama hama" kutokuwepo miongoni mwa vyombo vya ulinz
na usalama wakati wao ndio wa kwanza kukutana na "aliens" wote walio
hatari na wasio hatari through entry points! so inasomekaje!?
"safeguarding national security and economic interest"! bas kama vp
iwe mamlaka! mnaionaje hiyo!
Serikali imefuta vibali vyote vya kushi nchini kwa
wageni kutoka nchi jirani wanaoishi mkoani Kagera
ili kupisha utekelezaji wa agizo la rais Jakaya
Kikwete la kufanyika kwa operesheni kubwa ya
kuwasaka wahalifu, majambazi na wahamiaji
haramu katika mikoa ya Kigoma, Geita na Kagera.
Ktk hotuba yake mh. Rais,ametaja udhaifu wa
utendaji ktk idara ya Uhamiaji kushindwa kuwadhibit wahamiaji hao,kataja
udhaifu wa PCCB kushindwa kudhibit maafisa uhamiaji wny machaka. Amesahau
Udhaifu Police kushindwa kuzibit majambaz&utekaji ktk mikoa hiyo!
Habarin waungwana!Hotuba ya mh.RAIS,Swala la
WAHAMIAJI HARAMU ktk mikoa ya Kagera,Kigoma&Geita.limenisikitisha sana
nakutujumuisha wote niwapokea Rushwa&Idara husika ni Zaifu ktk utendaj,W
aungwaTUJIPANGE,ndo maana Police wanakuwa vihelehele kwn kaz zetu!
Wahamiaji Haramu wengi wao wameingia kwn kipind cha
Civil War btn Tutsi&Hutu 1994,wenyej wa mikoa hiyo
wakawakarimu,wakaona,waliokaribishwa wanendelea kuleta ndugu
zao,wenyeji,viongoz wa serikal za mitaa wanashindwa kutoa ushirikiano kwa
maafisa uhamiaji!!
SERIKAL IWEZESHE IDARA UHAMIAJ;kifedha&vitendea
kazi i.e viguu vya kuku.IDARA YA UHAMIAJ IENDESHE ZOEZI UPYA LA
USAJIL&UANDIKISHAJ KTK DAFTARI LA UKAAZI,IKIWEZEKANA IDARA IWAFANYIE
PROPAGANDA Kuwa SERIKAL INATAKA KUWAPA URAIA BURE KISHA WAWASCRUTIZE WOTE!
No comments:
Post a Comment