
Mlima Kilima njaro

Meno ya Tembo

Tembo wa Tanzania
Juzi,
Agosti 16, 2013 majira ya saa 10:46 jioni Polisi jijini Dar walimkamata
raia wa Vietnam aitwaye Nguyen Fanichati akiwa na meno ya Tembo katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Meno hayo yaliyokuwa
yamefichwa ndani ya sanduku yalitajwa kwa ujumla kuwa na zinathamani ya
Tsh. milioni 18.4
Endelea kusoma zaidi ........... http://bit.ly/19qNptM



Endelea kusoma zaidi ........... http://bit.ly/19qNptM
No comments:
Post a Comment